Bongo zozo Aula ubalozi wa Utalii
kupitia page ya instagram ya Mh waziri wa utalii ,Dkt Hamis Kigwangalla,amemteua rasmi bwana Nick
a.ka Bongo zozo kuwa balozi wa hiari wa kutangaza utalii wa Tanzania, akienda mbali zaidi tayari, kwa mamlaka aliyopewa MH waziri,ameitaka bodi ya utalii kuandaa safari ya bwana Bongo zozo kuja Tanzania na kutembelea vivutio vya utalii
